Yā 'Ayyuhā Al-Ladhīna 'Āmanū Lā Takūnū Kālladhīna 'Ādhaw Mūsaá Fabarra'ahu Allāhu Mimmā Qālū Wa Kāna `Inda Allāhi Wajīhāan (Al-'Aĥzāb: 69). |
| 69. Enyi mlio amini! Msiwe kama wale walio mtaabisha Musa, lakini Mwenyezi Mungu akamtakasa na waliyo yasema, naye alikuwa mwenye hishima mbele ya Mwenyezi Mungu. |