Yas'aluka An-Nāsu `An As-Sā`ati Qul 'Innamā `Ilmuhā `Inda Allāhi Wa Mā Yudrīka La`alla As-Sā`ata Takūnu Qarībāan (Al-'Aĥzāb: 63). |
| 63. Watu wanakuuliza khabari ya Saa (ya Kiyama). Sema: Ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu. Na nini kitakujuvya? Pengine hiyo Saa iko karibu. |