Wa Lā Tuţi` Al-Kāfirīna Wa Al-Munāfiqīna Wa Da` 'Adhāhum Wa Tawakkal `Alaá Allāhi Wa Kafaá Billāhi Wa Kīlāan (Al-'Aĥzāb: 48). |
| 48. Wala usiwat'ii makafiri na wanaafiki, na usijali udhia wao. Nawe mtegemee Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mtegemewa. |