Huwa Al-Ladhī Yuşallī `Alaykum Wa Malā'ikatuhu Liyukhrijakum Mina Až-Žulumāti 'Ilaá An-Nūr Wa Kāna Bil-Mu'uminīna Raĥīmāan (Al-'Aĥzāb: 43). |
| 43. Yeye na Malaika wake ndio wanakurehemuni ili kukutoeni gizani mwende kwenye nuru. Naye ni Mwenye kuwarehemu Waumini. |