'Inna Allāha `Indahu `Ilmu As-Sā`ati Wa Yunazzilu Al-Ghaytha Wa Ya`lamu Mā Fī Al-'Arĥāmi Wa Mā Tadrī Nafsundhā Taksibu Ghadāan Wa Mā Tadrī Nafsun Bi'ayyi 'Arđin Tamūtu 'Inna Allāha `Alīmun Khabīrun (Luqn: 34).

Next Sūrah >>    Recite again    
34. Hakika kuijua Saa (ya Kiyama) kuko kwa Mwenyezi Mungu. Na Yeye ndiye anaye iteremsha mvua. Na anavijua viliomo ndani ya matumbo ya uzazi. Na haijui nafsi yoyote itachuma nini kesho. Wala nafsi yoyote haijui itafia nchi gani. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujua, Mwenye khabari. *