'Alam Taraá 'Anna Al-Fulka Tajrī Fī Al-Baĥri Bini`mati Allāhi Liyuriyakum Min 'Āyātihi 'Inna Fī Dhālika L'āyātin Likulli Şabbārin Shakūrin (Luqmān: 31). |
31. Kwani huoni kwamba marikebu hupita baharini zikichukua neema za Mwenyezi Mungu, ili kukuonyesheni baadhi ya Ishara zake? Hakika katika haya zipo Ishara kwa kila mwenye kusubiri, mwenye kushukuru. |