Wa Man Kafara Falā Yaĥzunka Kufruhu 'Ilaynā Marji`uhum Fanunabbi'uhum Bimā `Amilū 'Inna Allāha `Alīmun Bidhāti Aş-Şudūri (Luqmān: 23). |
23. Na anaye kufuru, isikuhuzunishe kufuru yake. Kwetu ndio marudio yao, na hapo tutawaambia waliyo yatenda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa yaliyomo vifuani. |