Wa Man Yuslim Wajhahu 'Ilaá Allāhi Wa Huwa Muĥsinun Faqadi Astamsaka Bil-`Urwati Al-Wuthqaá Wa 'Ilaá Allāhi `Āqibatu Al-'Umūri (Luqmān: 22). |
22. Na mwenye kuuelekeza uso wake kwa Mwenyezi Mungu, naye akawa anafanya wema, basi huyo hakika amekwisha kamata fundo lilio madhubuti. Na mwisho wa mambo yote ni kwa Mwenyezi Mungu. |