Wa Laqad 'Ātaynā Luqmāna Al-Ĥikmata 'An Ashkur Lillāhi Wa Man Yashkur Fa'innamā Yashkuru Linafsihi Wa Man Kafara Fa'inna Allāha Ghanīyun Ĥamīdun (Luqmān: 12). |
12. Na tulimpa Luqman hikima, tukamwambia: Mshukuru Mwenyezi Mungu. Na mwenye kushukuru basi hakika anashukuru kwa manufaa ya nafsi yake. Na aliye kufuru, basi Mwenyezi Mungu ni Mkwasi, Msifiwa. |