Wa 'Idhā Tutlaá `Alayhi 'Āyātunā Wallaá Mustakbirāan Ka'an Lam Yasma`hā Ka'anna Fī 'Udhunayhi Waqrāan Fabashshirhu Bi`adhābin 'Alīmin (Luqmān: 7). |
7. Na (mtu kama huyo) anapo somewa Aya zetu huzipa mgongo kwa kujivuna, kama kwamba hakuzisikia, kama kwamba masikioni mwake mna uziwi. Basi mbashirie kuwa atapata adhabu chungu. |