Wa Al-Ladhīna Jāhadū Fīnā Lanahdiyannahum Subulanā Wa 'Inna Allāha Lama`a Al-Muĥsinīna (Al-`Ankabūt: 69).

Next Sūrah >>    Recite again    
69. Na wanao fanya juhudi kwa ajili yetu, Sisi tutawaongoa kwenye njia zetu. Na hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na watu wema. *