Wa Ka'ayyin Min Dābbatin Lā Taĥmilu Rizqahā Allāhu Yarzuquhā Wa 'Īyākum Wa Huwa As-Samī`u Al-`Alīmu (Al-`Ankabūt: 60). |
60. Na wanyama wangapi hawawezi kujimilikia riziki zao! Mwenyezi Mungu anawaruzuku hao na nyinyi pia. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia Mwenye kujua. |