Wa Yasta`jilūnaka Bil-`Adhābi Wa Lawlā 'Ajalun Musamman Lajā'ahum Al-`Adhābu Wa Laya'tiyannahum Baghtatan Wa Hum Lā Yash`urūna (Al-`Ankabūt: 53). |
53. Na wanakuhimiza waletewe adhabu kwa haraka. Na lau kuwa hapana wakati maalumu ulio wekwa, basi adhabu ingeli wajia, na ingeli watokea kwa ghafla, na hali wao hawana khabari. |