'Awalam Yakfihim 'Annā 'Anzalnā `Alayka Al-Kitāba Yutlaá `Alayhim 'Inna Fī Dhālika Laraĥmatan Wa Dhikraá Liqawmin Yu'uminūna (Al-`Ankabūt: 51). |
51. Je! Kwani hayakuwatosha ya kwamba tumekuteremshia Kitabu hiki wanacho somewa? Hakika katika hayo zipo rehema na mawaidha kwa watu wanao amini. |