Atlu Mā 'Ūĥiya 'Ilayka Mina Al-Kitābi Wa 'Aqim Aş-Şalāata 'Inna Aş-Şalāata Tanhaá `An Al-Faĥshā'i Wa Al-Munkari Wa Ladhikru Allāhi 'Akbaru Wa Allāhu Ya`lamu Mā Taşna`ūna (Al-`Ankabūt: 45). |
45. SOMA uliyo funuliwa katika Kitabu, na ushike Sala. Hakika Sala inazuilia mambo machafu na maovu. Na kwa yakini kumdhukuru Mwenyezi Mungu ndilo jambo kubwa kabisa. Na Mwenyezi Mungu anayajua mnayo yatenda. |