Wa Lā Tad`u Ma`a Allāhi 'Ilahāan 'Ākhara Lā 'Ilāha 'Illā Huwa Kullu Shay'in Hālikun 'Illā Wajhahu Lahu Al-Ĥukmu Wa 'Ilayhi Turja`ūna (Al-Qaşaş: 88). |
| 88. Wala usimwombe pamoja na Mwenyezi Mungu mungu mwenginewe. Hapana mungu ila Yeye. Kila kitu kitaangamia isipo kuwa Yeye. Hukumu iko kwake, na kwake mtarejezwa. * |