Wa Lā Yaşuddunnaka `An 'Āyāti Allāhi Ba`da 'Idh 'Unzilat 'Ilayka Wa Ad`u 'Ilaá Rabbika Wa Lā Takūnanna Mina Al-Mushrikīna (Al-Qaşaş: 87). |
| 87. Wala wasikuzuie kuzifuata Aya za Mwenyezi Mungu baada ya kuteremshiwa wewe. Na lingania kwa Mola wako Mlezi, wala usiwe miongoni mwa washirikina. |