Man Jā'a Bil-Ĥasanati Falahu Khayrun Minhā Wa Man Jā'a Bis-Sayyi'ati Falā Yujzaá Al-Ladhīna `Amilū As-Sayyi'āti 'Illā Mā Kānū Ya`malūna (Al-Qaşaş: 84). |
| 84. Atakaye tenda wema atapata malipo bora kuliko huo wema alio utenda. Na atakaye tenda uovu, hawalipwi watendao uovu ila waliyo kuwa wakiyatenda. |