Wa Abtaghi Fīmā 'Ātāka Allāhu Ad-Dāra Al-'Ākhirata Wa Lā Tansa Naşībaka Mina Ad-Dunyā Wa 'Aĥsin Kamā 'Aĥsana Allāhu 'Ilayka Wa Lā Tabghi Al-Fasāda Fī Al-'Arđi 'Inna Allāha Lā Yuĥibbu Al-Mufsidīna (Al-Qaşaş: 77). |
| 77. Na utafute, kwa aliyo kupa Mwenyezi Mungu, makaazi ya Akhera. Wala usisahau fungu lako la dunia. Nawe fanya wema kama Mwenyezi Mungu alivyo kufanyia wema wewe. Wala usitafute kufanya ufisadi katika ardhi. Hakika Mwenyezi Mungu hawapendi mafisadi. |