Qul 'Ara'aytum 'In Ja`ala Allāhu `Alaykumu Al-Layla Sarmadāan 'Ilaá Yawmi Al-Qiyāmati Man 'Ilahun Ghayru Allāhi Ya'tīkum Biđiyā'in 'Afalā Tasma`ūna (Al-Qaşaş: 71). |
| 71 Sema: Mwaonaje, Mwenyezi Mungu angeli ufanya usiku umekukalieni moja kwa moja mpaka Siku ya Kiyama, mungu gani asiye kuwa Mwenyezi Mungu atakaye kuleteeni mwangaza? Basi je, hamsikii? |