Wa Mā Kāna Rabbuka Muhlika Al-Quraá Ĥattaá Yab`atha Fī 'Ummihā Rasūlāan Yatlū `Alayhim 'Āyātinā Wa Mā Kunnā Muhlikī Al-Quraá 'Illā Wa 'Ahluhā Žālimūna (Al-Qaşaş: 59). |
| 59. Na Mola wako Mlezi haangamizi miji mpaka ampeleke Mtume katika miji yake mikuu awasomee Ishara zetu. Wala hatuiangamizi miji mpaka watu wake wawe madhaalimu. |