Wa 'An 'Atluwa Al-Qur'āna Famani Ahtadaá Fa'innamā Yahtadī Linafsihi Wa Man Đalla Faqul 'Innamā 'Anā Mina Al-Mundhirīna (An-Nml: 92). |
92. Na niisome Qur'ani. Na mwenye kuongoka, basi ameongoka kwa faida ya nafsi yake; na aliye potea - basi sema: Hakika mimi ni miongoni mwa waonyaji. |