Qul Al-Ĥamdu Lillāhi Wa Salāmun `Alaá `Ibādihi Al-Ladhīna Aşţafaá 'Āālllahu Khayrun 'Ammā Yushrikūna (An-Naml: 59). |
59. Sema: Alhamdu Lillahi! Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu! Na amani ishuke juu ya waja wake alio wateuwa. Je! Mwenyezi Mungu ni bora, au wale wanao washirikisha naye? |