Al-Ladhīna Yuĥsharūna `Alaá Wujūhihim 'Ilaá Jahannama 'Ūlā'ika Sharrun Makānāan Wa 'Ađallu Sabīlāan (Al-Furqān: 34). |
34. Wale ambao watakao kusanywa na kubururwa kifudifudi mpaka kwenye Jahannamu, hao watakuwa na mahali pabaya, ndio wenye kuipotea sana njia. |