'Alā 'Inna Lillāhi Mā Fī As-Samāwāti Wa Al-'Arđi Qad Ya`lamu Mā 'Antum `Alayhi Wa Yawma Yurja`ūna 'Ilayhi Fayunabbi'uhum Bimā `Amilū Wa Allāhu Bikulli Shay'in `Alīmun (An-Nūr: 64).

Next Sūrah >>    Recite again    
64. Jueni kuwa hakika ni vya Mwenyezi Mungu vilivyomo mbinguni na ardhini. Hakika Yeye anajua mlio nayo. Na siku mtapo rudishwa kwake atawaeleza waliyo yafanya. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu. *