'Innamā Kāna Qawla Al-Mu'uminīna 'Idhā Du`ū 'Ilaá Allāhi Wa Rasūlihi Liyaĥkuma Baynahum 'An Yaqūlū Sami`nā Wa 'Aţa`nā Wa 'Ūlā'ika Hum Al-Mufliĥūna (An-Nūr: 51). |
51. Haiwi kauli ya Waumini wanapo itwa kwa Mwenyezi Mungu na Mtume wake ili ahukumu baina yao, ila ni kusema: Tumesikia, na tumet'ii! Na hao ndio wenye kufanikiwa. |