Wa Allāhu Khalaqa Kulla Dābbatin Min Mā'in Faminhum Man Yamshī `Alaá Baţnihi Wa Minhum Man Yamshī `Alaá Rijlayni Wa Minhum Man Yamshī `Alaá 'Arba`in Yakhluqu Allāhu Mā Yashā'u 'Inna Allāha `Alaá Kulli Shay'in Qadīrun (An-Nūr: 45). |
45. Na Mwenyezi Mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji. Wengine katika wao huenda kwa matumbo yao, na wengine huenda kwa miguu miwili, na wengine huenda kwa miguu mine. Mwenyezi Mungu huumba ayatakayo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu. |