Fa'idhā Astawayta 'Anta Wa Man Ma`aka `Alaá Al-Fulki Faqul Al-Ĥamdu Lillāhi Al-Ladhī Najjānā Mina Al-Qawmi Až-Žālimīna (Al-Mu'uminūn: 28). |
28. Basi utakapo tulia wewe na walio pamoja nawe humo marikebuni, sema: Alhamdulillahi Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, aliye tuokoa na watu madhaalimu! |