Lan Yanāla Allāha Luĥūmuhā Wa Lā Dimā'uuhā Wa Lakin Yanāluhu At-Taqwaá Minkum Kadhālika Sakhkharahā Lakum Litukabbirū Allāha `Alaá Mā Hadākum Wa Bashshir Al-Muĥsinīna (Al-Ĥaj: 37). |
37. Nyama zao hazimfikii Mwenyezi Mungu wala damu zao, lakini unamfikia uchamngu wenu. Namna hivi tumewadhalilisha kwenu ili mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa alivyo kuongoeni. Na wabashirie wafanyao mema. |