Thāniya `Iţfihi Liyuđilla `An Sabīli Allāhi Lahu Fī Ad-Dunyā Khizyun Wa Nudhīquhu Yawma Al-Qiyāmati `Adhāba Al-Ĥarīqi (Al-Ĥaj: 9). |
9. Anaye geuza shingo yake ili kupoteza watu waache Njia ya Mwenyezi Mungu. Duniani atapata hizaya, na Siku ya Kiyama tutamwonjesha adhabu ya kuungua. |