Wa Qālū Lawlā Ya'tīnā Bi'āyatin Min Rabbihi 'Awalam Ta'tihim Bayyinatu Mā Fī Aş-Şuĥufi Al-'Ūlaá (Ţāhā: 133). |
| 133. Na walisema: Kwa nini hakutuletea muujiza kutoka kwa Mola wake Mlezi? Je! Haikuwafikilia dalili wazi ya yaliyomo katika Vitabu vya kale? |