Wa Lā Tamuddanna `Aynayka 'Ilaá Mā Matta`nā Bihi 'Azwājāan Minhum Zahrata Al-Ĥayāati Ad-Dunyā Linaftinahum Fīhi Wa Rizqu Rabbika Khayrun Wa 'Abqaá (Ţāhā: 131). |
| 131. Wala usivikodolee macho tulivyo wastareheshea baadhi ya watu miongoni mwao, kwa ajili ya mapambo ya duniani, ili tuwajaribu. Na riziki ya Mola wako Mlezi ni bora na inadumu zaidi. |