Yawma'idhin Yattabi`ūna Ad-Dā`ī Lā `Iwaja Lahu Wa Khasha`at Al-'Aşwātu Lilrraĥmani Falā Tasma`u 'Illā Hamsāan (Ţāhā: 108). |
108. Siku hiyo watamfuata muitaji asiye na upotofu. Na sauti zote zitamnyenyekea Arrahmani Mwingi wa Rahema. Basi husikii ila mchakato na mnong'ono. |