Qālū Lan Nu'uthiraka `Alaá Mā Jā'anā Mina Al-Bayyināti Wa Al-Ladhī Faţaranā Fāqđi Mā 'Anta Qāđin 'Innamā Taqđī Hadhihi Al-Ĥayāata Ad-Dunyā (Ţāhā: 72). |
72. Wakasema: Hatutokukhiari wewe kuliko ishara waziwazi zilizo tujia, na kuliko yule aliye tuumba. Basi hukumu utavyo hukumu; kwani wewe unahukumu haya ya maisha ya duniani tu. |