Wa 'Alqi Mā Fī Yamīnika Talqaf Mā Şana`ū 'Innamā Şana`ū Kaydu Sāĥirin Wa Lā Yufliĥu As-Sāĥiru Ĥaythu 'Ataá (Ţāhā: 69). |
69. Na kitupe kilicho katika mkono wako wa kulia; kitavimeza walivyo viunda. Hakika walivyo unda ni hila za mchawi tu, na mchawi hafanikiwi popote afikapo. |