Qāla Lahum Mūsaá Waylakum Lā Taftarū `Alaá Allāhi Kadhibāan Fayusĥitakum Bi`adhābin Wa Qad Khāba Man Aftaraá (Ţāhā: 61). |
61. Musa akamwambia: Ole wenu! Msimzulie Mwenyezi Mungu uwongo, asije akakufutilieni mbali kwa adhabu. Na mwenye kuzua lazima ashindwe! |