Wa Taĥsabuhum 'Ayqāžāan Wa Hum Ruqūdun Wa Nuqallibuhum Dhāta Al-Yamīni Wa Dhāta Ash-Shimāli Wa Kalbuhum Bāsiţun Dhirā`ayhi Bil-Waşīdi Lawi Aţţala`ta `Alayhim Lawallayta Minhum Firārāan Wa Lamuli'ta Minhum Ru`bāan (Al-Kahf: 18). |
18. Nawe utawadhania wamacho, na hali wamelala. Nasi tunawageuza kulia na kushoto. Na mbwa wao amenyoosha miguu yake ya mbele kizingitini. Kama ungeli watokea hapana shaka ungeli geuka kuwakimbia, nawe umejaa khofu. |