Naĥnu Naquşşu `Alayka Naba'ahum Bil-Ĥaqqi 'Innahum Fityatun 'Āmanū Birabbihim Wa Zidnāhum Hudan (Al-Kahf: 13). |
13. Sisi tunakusimulia khabari zao kwa kweli. Hakika wao walikuwa ni vijana walio muamini Mola wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha uwongofu. |