Qul 'Āminū Bihi 'Aw Lā Tu'uminū 'Inna Al-Ladhīna 'Ūtū Al-`Ilma Min Qablihi 'Idhā Yutlaá `Alayhim Yakhirrūna Lil'adhqāni Sujjadāan (Al-'Isrā': 107). |
| 107. Sema: Iaminini au msiiamini. Hakika wale walio pewa ilimu kabla yake, wanapo somewa hii, huanguka kifudifudi wanasujudu. |