Subĥāna Al-Ladhī 'Asraá Bi`abdihi Laylāan Mina Al-Masjidi Al-Ĥarāmi 'Ilaá Al-Masjidi Al-'Aqşaá Al-Ladhī Bāraknā Ĥawlahu Linuriyahu Min 'Āyātinā 'Innahu Huwa As-Samī`u Al-Başīru (Al-'Isrā': 1). |
1. SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona. |