Dhālika Bi'annahumu Astaĥabbū Al-Ĥayāata Ad-Dunyā `Alaá Al-'Ākhirati Wa 'Anna Allāha Lā Yahdī Al-Qawma Al-Kāfirīna (An-Naĥl: 107). |
107. Hayo ni kwa sababu wameyapenda zaidi maisha ya duniani kuliko ya Akhera, na kwa sababu Mwenyezi Mungu hawaongoi watu makafiri. |