Man `Amila Şāliĥāan Min Dhakarin 'Aw 'Unthaá Wa Huwa Mu'uminun Falanuĥyiyannahu Ĥayāatan Ţayyibatan Wa Lanajziyannahum 'Ajrahum Bi'aĥsani Mā Kānū Ya`malūna (An-Naĥl: 97). |
97. Mwenye kutenda mema, mwanamume au mwanamke, naye akawa ni Muumini, tutamhuisha maisha mema; na tutawapa ujira wao kwa bora ya waliyo kuwa wakiyatenda. |