Wa Lā Tashtarū Bi`ahdi Allāhi Thamanāan Qalīlāan 'Innamā `Inda Allāhi Huwa Khayrun Lakum 'In Kuntum Ta`lamūna (An-Naĥl: 95). |
95. Wala msinunue ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa thamani ndogo. Hakika kilichoko kwa Mwenyezi Mungu ndicho bora kwenu, ikiwa mnajua. |