Wa Lillahi Ghaybu As-Samāwāti Wa Al-'Arđi Wa Mā 'Amru As-Sā`ati 'Illā Kalamĥi Al-Başari 'Aw Huwa 'Aqrabu 'Inna Allāha `Alaá Kulli Shay'in Qadīrun (An-Naĥl: 77). |
77. Na siri zote za katika mbingu na ardhi ziko kwa Mwenyezi Mungu. Wala halikuwa jambo la Saa (ya Kiyama) ila kama kupepesa kwa jicho, au akali ya hivyo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu. |