Falā Taĥsabanna Allāha Mukhlifa Wa`dihi Rusulahu 'Inna Allāha `Azīzun Dhū Antiqāmin ('ibrāhīm: 47). |
47. Basi usimdhanie Mwenyezi Mungu kuwa ni mwenye kuwavunjia ahadi yake Mitume wake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kushinda, na ni Mwenye kulipiza. |