Wa 'Andhir An-Nāsa Yawma Ya'tīhim Al-`Adhābu Fayaqūlu Al-Ladhīna Žalamū Rabbanā 'Akhkhirnā 'Ilaá 'Ajalin Qarībin Nujib Da`wataka Wa Nattabi` Ar-Rusula 'Awalam Takūnū 'Aqsamtum Min Qablu Mā Lakum Min Zawālin ('ibrāhīm: 44). |
44. Na waonye watu siku itapo wajia adhabu, na walio dhulumu waseme: Ewe Mola wetu Mlezi! Tuakhirishe muda kidogo tuitikie wito wako na tuwafuate Mitume. Kwani nyinyi si mliapa zamani kwamba hamtaondokewa? |