Rabbanā 'Innaka Ta`lamu Mā Nukhfī Wa Mā Nu`linu Wa Mā Yakhfaá `Alaá Allāhi Min Shay'in Fī Al-'Arđi Wa Lā Fī As-Samā'i ('ibrāhīm: 38). |
38. Ewe Mola wetu Mlezi! Hakika Wewe unajua tunayo yaficha na tunayo yatangaza. Na hapana kitu kinacho fichikana kwa Mwenyezi Mungu katika ardhi wala katika mbingu. |