Rabbi 'Innahunna 'Ađlalna Kathīrāan Mina An-Nāsi Faman Tabi`anī Fa'innahu Minnī Wa Man `Aşānī Fa'innaka Ghafūrun Raĥīmun ('ibrāhīm: 36). |
36. Ewe Mola wangu Mlezi! Hakika hayo yamewapoteza watu wengi. Basi aliye nifuata mimi huyo ni wangu, na aliye niasi, hakika Wewe ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. |