Wa Mā Lanā 'Allā Natawakkala `Alaá Allāhi Wa Qad Hadānā Subulanā Wa Lanaşbiranna `Alaá Mā 'Ādhaytumūnā Wa `Alaá Allāhi Falyatawakkal Al-Mutawakkilūna ('ibrāhīm: 12). |
12. Na tuna nini hata tusimtegemee Mwenyezi Mungu, na hali Yeye ametuongoa kwenye Njia zetu. Na hapana shaka sisi tutayavumilia hayo maudhi mnayo tuudhi. Na juu ya Mwenyezi Mungu wategemee wanao tegemea. |