Wa Laqad 'Arsalnā Mūsaá Bi'āyātinā 'An 'Akhrij Qawmaka Mina Až-Žulumāti 'Ilaá An-Nūr Wa Dhakkirhum Bi'ayyāmi Allāhi 'Inna Fī Dhālika L'āyātin Likulli Şabbārin Shakūrin ('ibrāhīm: 5). |
5. Na tulimtuma Musa pamoja na miujiza yetu, tukamwambia: Watoe watu wako kwenye giza uwapeleke kwenye mwangaza. Na uwakumbushe siku za Mwenyezi Mungu. Hakika katika hayo zipo ishara kwa kila mwenye kusubiri akashukuru. |